Poua Demiss niambieMambo Likud
Sina mpya bidada.leta weweShwari za uzimaaa leta mpyaaa
Ukija nitakuelekezaUmejuajeeeee
Endelea kunipiga dana dana hivyo...Siji Leo kwako naenda chanika
Miss u more luv.Nimekumichiii
Dubai means Do and buy. So I will take u to Kariakoo . We take a lodge there. Tutakuwa tuna do na kubuy, do na kubuy..Haya utanipeleka Dubai?
Nimechoka kudanganywa, bora nije nikuchukue kabisa hukoNitumie nauli
kabangaHuyo kabanga ni Ke?
Anyway happy birthday sister