johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hili gamba ni la kobe, good luckMarafiki wakuu wa CCM hongera zao ie Tundu Lissu, Zitto na wengine. Aidha washabiki wa CCM wa JF akina Sky Eclat , Erythrocyte Informer et al. Endelea kuisapoti CCM ili izidi kujivua gamba. Gamba la kwanza ni Bashite. Sie watazamaji yetu macho
Bashite kama mtoto Wa mizimu vile, hasemwi kwa wazazi aisee!Marafiki wakuu wa CCM hongera zao ie Tundu Lissu, Zitto na wengine. Aidha washabiki wa CCM wa JF akina Sky Eclat , Erythrocyte Informer et al. Endelea kuisapoti CCM ili izidi kujivua gamba. Gamba la kwanza ni Bashite. Sie watazamaji yetu macho
Mimi nilishastaafu bwashee!Bado hawajakukumbuka kwenye teuzi?
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Kama alishindikana joka la makengeza huyu mtamuweza?!Hili gamba ni la kobe, good luck
mfumo wa vyama vingi aliukubali akili kubwa mwalimu JKN.Namtakia kila la kheri mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli
Nawatakia kila la kheri makamu mwenyekiti mzee Mangula, Katibu mkuu Dr Bashiru na sekretarieti yote
Namtakia kila la kheri kada mkongwe na asiyechoka mzee Mgaya
Nawatakia kila la kheri wanaccm wote
Mwisho lakini siyo kwa umuhimu nawatakia kila la kheri wapinzani wote kwa kuiunga mkono CCM na hasa Mzee Shibuda, mzee Cheyo, Prof Lipumba, KUB Mbowe ,mzee Mrema na James Mbatia
Mungu ibariki Tanzania na uibariki pia CCM!
Amen!
DAMN YOU KILLED!!!!Hili gamba ni la kobe, good luck