johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio bwashee!Kwamba ni CCM ndo waliruhusu vyama vingi!!
Mataga wanajua basi!!Kwamba ni CCM ndo waliruhusu vyama vingi!!
Chadema ndio mali ya mtu mmoja!CCM mbona ilisha kufa,baada ya kumilikiwa na mtu mmoja,