Happy Birthday CCM!

Happy Birthday CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
 
😄😄😄
5390066.jpeg
 
Katika afrika waarabu walipaswa kutolewa kwenye hili bara.

Ngozi nyeusi zina matatizo mfano hakuna only God tu anaweza kututoa hapa tulipo.
 
Ila huyu tunaye katia fora katika iyo miaka44. Miaka yake miwili ya mwanzo ya utawala kalamba zaidi ya Trilioni 4 pamoja na rambirambi
 
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
 
Back
Top Bottom