Happy birthday Chachu Ombara

Jollie Jolie wa hazard banasijanunua best ninunulie,hivi ulishirikigi shindano la injili la ladyfurahia pale leotupohapa?
kuna watu walikuwa wanatuokotaga humu jamani
haahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiii mmenichekesha hapa job wamenishangaa kwakweli duuu figganigga hakushiriki kabisa ingawaje nilimwambiaga akala kona siku hiyo hakutokea kabisa ikabidi nimpachike Asprin naye ssasa alikuwa nyweeee hakuweza kitu nikabaki nashangaa tu nifanyaje walinitia aibu kweli hawa hahaaaaaaaaa
 
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aiseee uwiiiiii jamani nyie mmenifurahisha sana sasa wewe mlete huyo wifi yangu hapa haraka mpaka sasa hujaoa unasubiria nini
mwambie mathematics kitu kimetulia hahaaaaaaaa
 
Hujambo lkn bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…