ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
- Thread starter
- #81
hahahaaaaaaaaaaaaaa muanzishaji mwenyewe mkongwe lazima wajae wakongwe na maltwani hapa bado sijamuona Baba V, Paloma, KakaKiiza, Arushaone , Mtambuzi , Zion Daughter , Lady doctor, charminglady , valentine, miss chagga na wengineo na kipenzi changu Mentor uko wapi bestt jamaniYaani hii post wamejazana wakongwe maalwatan wa jf,madame nipitie na mimi hao band wanirushe bwana