Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga so nilikumiss sana acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr Wangu Chachu yaani atashangaa kuona mtoko wake kamkaukia hahahaaaaa