Haha kwaiyo mlikua mnashindanaHeppi besdei chalii yangu Francy
Mungu aendelee kukutunza na kubariki kazi ya mikono yako
Ufanikiwe zaidi ya jana
Unenepe na kunawiri kama wale watoto unaowatunza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nimemaind yani hadi jana hujaniambia kama leo besdei yako mpaka Khantwe kaniwai kufungua sredi!?
Nimenuna [emoji57]
Asante kwa suprise dada. Nimefarijika sana siku ya leo. [emoji120][emoji120][emoji120]Kwako rafiki yangu, mdogo wangu chaliifrancisco, ni siku nyingine tena Mwenye enzi Mungu amekujaalia kuongeza mwaka mwingine... Naomba nitumie nafasi hii kukutakia heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa. Mungu akutunze uendelee kukua katika kimo na maarifa ukimpendeza Mungu na wanadamu.
Happy birthday to you kijana mwenye umri mdogo ila una hekima kama zotee hadi mimi kigagula wakati mwingine najishtukia haha.
Karibu ndugu, jamaa na marafiki tuungane kumtakia huyu kijana maisha marefu yenye Baraka.
I hope ugomvi wako na kaka yangu MO11 umeisha na nitamuona hapa anakuja kusherehekea pamoja nasi
Thanks Numbisa.. Hivi ile picha uliyopost kwenye ule uzi wa Simba SC ni yako? [emoji41]Happy birthday chaliiView attachment 967756
Asante sister.. Kwenye maji hapo nina allergy nayo aseee.. Natumia tu maji kuyanywa hata kuoga siogi [emoji23][emoji23]Happy birthday
chaliifrancisco
Nakutakia maisha marefu na yenye baraka mkuu
Tupe location tuje kukumwagia maji.
Asante kaka.Happy bday kwake
Nipo hapa mda tu [emoji119][emoji119]Haha sijui hata kajificha wapi
Hahaha tuliozaliwa mwisho wa mwaka tumezaliwa tarehe za bata bata kama Yesuwaliozaliwa mwisho wa mwaka ndo wale wale 'toleo la mwisho'
Thanks Bro. I hope MO11 atakua kaona hii comment maana yeye ndio anatakiwa achukue hiyo complimentHappy Birthday to u Brother, Asante kwa kuwa na dada mzuri
Siungi mkono hojaNaomba nimnunulie nepi tafadhali...[emoji823] [emoji823]
Hahaha aseeee [emoji23][emoji23][emoji23]Kwavile ndo kazaliwa Leo bila shaka atakuwa uvunguni huyu
Hebu kachungulie uvungu wa kitanda au wa kochi utamkuta lazima aogeshwe leo, apige picha akiwa msafi hahaha.
Usisahau kumtuma mwajuma akanunue pampes au bambino,asije kojolea wageni wakimpakata.
Nashukuru sana Inna keki nije kuchukua wapi?Haha kigagula unajishtukia
Happy birthday chaliifrancisco
Uishi miaka mingi Mungu akuongozee hekima na busara
Asante sana babu. Ila ndio lift ile kwenye kwenye hisabati umeniacha tayari babu?
Hahaha asee mwenyewe sikutegemea kufunguliwa uzi nilijua itapita kimya kimya kama siku nyingine.. Ila na wewe ungefungua tu uzi zingeunganishwa..Heppi besdei chalii yangu Francy
Mungu aendelee kukutunza na kubariki kazi ya mikono yako
Ufanikiwe zaidi ya jana
Unenepe na kunawiri kama wale watoto unaowatunza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nimemaind yani hadi jana hujaniambia kama leo besdei yako mpaka Khantwe kaniwai kufungua sredi!?
Nimenuna [emoji57]
Haha mtoto umenishinda tabia,haupendi kuoga bhas hauli keki.Asante sister.. Kwenye maji hapo nina allergy nayo aseee.. Natumia tu maji kuyanywa hata kuoga siogi [emoji23][emoji23]
Thanks for the wishes Financial. Stay blessed too.Happy birthday, kijana mstaarabu. May all your good dreams come true Chalii[emoji120]