Happy Birthday Chaliifrancisco

Happy Birthday Chaliifrancisco

Heppi besdei chalii yangu Francy

Mungu aendelee kukutunza na kubariki kazi ya mikono yako

Ufanikiwe zaidi ya jana

Unenepe na kunawiri kama wale watoto unaowatunza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nimemaind yani hadi jana hujaniambia kama leo besdei yako mpaka Khantwe kaniwai kufungua sredi!?

Nimenuna [emoji57]
Haha kwaiyo mlikua mnashindana
 
Kwako rafiki yangu, mdogo wangu chaliifrancisco, ni siku nyingine tena Mwenye enzi Mungu amekujaalia kuongeza mwaka mwingine... Naomba nitumie nafasi hii kukutakia heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa. Mungu akutunze uendelee kukua katika kimo na maarifa ukimpendeza Mungu na wanadamu.
Happy birthday to you kijana mwenye umri mdogo ila una hekima kama zotee hadi mimi kigagula wakati mwingine najishtukia haha.
Karibu ndugu, jamaa na marafiki tuungane kumtakia huyu kijana maisha marefu yenye Baraka.

I hope ugomvi wako na kaka yangu MO11 umeisha na nitamuona hapa anakuja kusherehekea pamoja nasi
Asante kwa suprise dada. Nimefarijika sana siku ya leo. [emoji120][emoji120][emoji120]


Ugomvi na MO11 ulishaisha siku nyingi tu [emoji23]
 
Kwavile ndo kazaliwa Leo bila shaka atakuwa uvunguni huyu
Hebu kachungulie uvungu wa kitanda au wa kochi utamkuta lazima aogeshwe leo, apige picha akiwa msafi hahaha.

Usisahau kumtuma mwajuma akanunue pampes au bambino,asije kojolea wageni wakimpakata.
Hahaha aseeee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heppi besdei chalii yangu Francy

Mungu aendelee kukutunza na kubariki kazi ya mikono yako

Ufanikiwe zaidi ya jana

Unenepe na kunawiri kama wale watoto unaowatunza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nimemaind yani hadi jana hujaniambia kama leo besdei yako mpaka Khantwe kaniwai kufungua sredi!?

Nimenuna [emoji57]
Hahaha asee mwenyewe sikutegemea kufunguliwa uzi nilijua itapita kimya kimya kama siku nyingine.. Ila na wewe ungefungua tu uzi zingeunganishwa..

Basi mwakani itakua zamu yako
 
Back
Top Bottom