Heeeeee kumbe leo ni siku ya Mashujaa na ndipo shujaa wangu binamu yangu kipenzi changu jaamaani mamito, sasisto, dadito bestitocharminglady ametokea duniani heeee sikukumbuka mie weraweraaaaaaaa
Mungu akupe afya njema uwe juu katika kila ufanyalo, amani na upendo waoooo bebito.
hebu soma haya ndo gift yangu kwako best: 1. Usiwe na hisia zinazopita kiasi= Bali kuwa na Imani
2. Kamwe usikate tamaa= Endelea kujaribu
3. Usifanye mambo kuwa magumu= Chukulia kawaida tu
4. Usichukulie vitu kwa umakini kupita kiasi= Yacheke matatizo.
5. Siku zote usikue= Ishi kama mtoto/kijana.