Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemejiiiiiiii hbd wangu
Heeeeee kumbe leo ni siku ya Mashujaa na ndipo shujaa wangu binamu yangu kipenzi changu jaamaani mamito, sasisto, dadito bestito charminglady ametokea duniani heeee sikukumbuka mie weraweraaaaaaaa
Mungu akupe afya njema uwe juu katika kila ufanyalo, amani na upendo waoooo bebito.
hebu soma haya ndo gift yangu kwako best:
1. Usiwe na hisia zinazopita kiasi= Bali kuwa na Imani
2. Kamwe usikate tamaa= Endelea kujaribu
3. Usifanye mambo kuwa magumu= Chukulia kawaida tu
4. Usichukulie vitu kwa umakini kupita kiasi= Yacheke matatizo.
5. Siku zote usikue= Ishi kama mtoto/kijana.
happy birthday mpenzi