CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Asalaam aleikum wadau wa Jukwaa hili na Jamii Forums kwa ujumla...
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehma zake kwa kuniwezesha kuuona mwaka mwingine.
Namshukuru Mzazi wangu aliyebaki kwa kuwa nami bega kwa bega na kunifikisha hapa nilipo. Amekuwa mshauri wangu namba moja, bila mama yangu hakika nisingefika hapa niliko. NAKUPENDA MAMA YANGU...
Naishukuru crew nzima ya Jamii Forums kwa kunikutanisha na marafiki wengi wenye mitazamo chanya katika maisha. Naweza kusema JF imenibadilisha sana tena sana, kama ningepata uwezo wa kuelezea maisha kabla ya JF hakika mngeona tofauti kubwa sana.... Long Live Jamii Forums.
Nawashukuru wadau wote wa Jamii Forums kwa ushauri na michango yenu katika mada zangu. Mnaonesha ni kwa jinsi gani tuko pamoja.
Mwisho kwa wale woooote niliowakosea kwa namna moja ama nyingine naomba mnisamehe ili nianze mwaka mwingine mpya kwa amani na furaha. Pia nimewasamehe woote walionikosea...
"Pamoja Daima"
Wasalaam
CL....
NOTE: Cake ipo ila nitawapa update.
Happy birthday to me.