Happy birthday @Charty

Happy birthday @Charty

Rich Pol alitoweka gafla baada ya uchaguzi...
bado anashangilia ushindi..?si unajua alikua anagombea UDIWANI?
charty!!!!!!!! hii tabia mbaya ya kubana PM umeianza lini?????
tokea nimempata ride n die wangu kibo10
Hiyo ni amri halali kutoka kwangu.We kiwatengu PM ulitaka kwenda ili iwe je?Mbona watu mnapenda sana shortcut.Tumia njia hii tu chief utafika uendako Valentina Keki nimwemwandali baabu kubwa na nimemwagiza akupe card number 1 jirani karibu sana.
Happy birthday Mke wangu kipenzi charty
thanks so much mume wangu😛
 
Last edited by a moderator:
Jamani charty nimekuwish happy birthday hadi nimechoka....
Anyway,happy birthday dear...
 
Last edited by a moderator:
'Valentina' kuniweka mimi na miss chagga hapo umefanya kosa kubwa sana maana hata hiyo pesa ya mbege haitafika umiss chagga lazima aimalizie njiani charty happy birthday sana Mungu akuongezee maisha marefu na yenye furaha na amani yake ukaishi miaka mingi sana
 
Last edited by a moderator:
sasa mm mbona hujaniambia nimletee nini au mmenitenga nn?
Better late than never....


How does it matter whether you are 7 or 8, 17 or 18, 70 or 71? For all of us you're still as dumb and lovable as you always were! Just kidding. Wish you a very Happy Birthday my dear charty.

Mumeo Kibo10 najua amekuandalia bonge la keki sasa ole wako uninyime.... Namtuma Nyani Ngabu akuletee gauni nzuri ya sikukuu kiwatengu na shansarie watakuletea hereni Filipo & marejesho wataleta biskuti pakti moja ule taratibu usijeoza meno Mr Rocky & miss chagga watakuja na mbege Asprin atakuletea chupi ya mkojo Honey Faith ye atakuja bby show, janeth1 atakuletea mdoli Mentor ataleta kret la sminof ICHANA atakuletea vibanio vya nywele uzidi kupendeza mrembo dikembe ye amesema atakuletea kishida teh... Wengine watachugua zawadi za kuja nazo kwenye party
 
Last edited by a moderator:
Mfuko ulitetereka miss chagga kala kona
Ila hajajua na wala usimwambie aise mgodi unakaribia kutema na hapa ataisoma namba hata akija

Ha haa na ameshanusa harufu ya hela. Atakuja muda si mrefu,jipange
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom