Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
πππ basi nimeacha bae πHii hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ basi nimeacha bae πHii hapana
Hakuna kupumzika, tutapumzika kaburini udugu πππHapana udugu asavali pamepumzika sasahivi!π
Ngoja kwanza, antonnia ana king Sasa hivi? King gan?ππππ ww umewaanzia kuwafunga mdomo na king wako
Treeenaar tukomoshe mama miongozo kila mtu akae kwenye nafasi yake ππππMieee!!π€π€ mbona bado sijaanza lamama nikianza nina hekaheka sio za nchi hiiiπ
Yule yule mwenye miongozo yake JF πππNgoja kwanza, antonnia ana king Sasa hivi? King gan?
πππYaisheWw tena na venye compressor bovu πππ
Hapana aisee, hilo ukweli simshauriAsavali umemkatalia asikianzishe aseee π! Lamomy mumeo kaamuru uache ukorofi π
Antonnia naomba samareee, maana sijaelewa kabisaWee kantri usimskize Lamomy anakutania huyoo hata hakuna kitu khaah Lamomy nakugawa buree walai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahiv nnalo LA kushatooo, babee angu anapo pa kushikaa.
ππππ NakuzoomπππYaishe
Hana nyonyo lakini...oya sema kama cocastic hajaolewa nipeni namba zake
Mwaka utafungwa kibabee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo chacha, na tuwafungie mwaka wapoteane, shenzy zao