Happy birthday cocastic

Angekuwa anaweza shughuli za shambani, Babu yake nina zawadi ya ekari 5 za shamba aje alime πŸ€—

Kwa kuwa ni mpenzi wa Togwa, leo kuna lita 8 kwaajili yako

Heri ya Kuzaliwa Mjukuu wangu Machachali cocastic , Mwenyezi Mungu akupe hitaji la Moyo wako πŸŽ‚πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…