Happy birthday cocastic

Happy birthday cocastic

cocastic, Wishing you a day filled with happiness and a year filled with joy. Happy birthday to you. Have a wonderful time and a very happy birthday. Hope your special day brings you all that your heart desires. Ugonile kampyuku.
Kapyunku😊😊
 
  • Thanks
Reactions: 511
Shouzzz@Antonnia

Ahsantee sana kwa kuni wish ktk siku hii muhimu kwangu, sijutii kukufahamu, nafurahi kuwa na rafiki, shougaa, mkaribuu, uduguu, mwayaa, shostitooo km weweee.

[emoji178][emoji178][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182], mie nawee 4reverrrr,
Barikiwa sanaaa, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe anajuaga mie ndo coca, mwehu kweli [emoji85][emoji85][emoji85]

Afu asichojua coca ni pisi kali, wakati mie ni mshangaziii, wapi na wapiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo kwann lakiniii?
 
Shouzzz@Antonnia

Ahsantee sana kwa kuni wish ktk siku hii muhimu kwangu, sijutii kukufahamu, nafurahi kuwa na rafiki, shougaa, mkaribuu, uduguu, mwayaa, shostitooo km weweee.

[emoji178][emoji178][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182], mie nawee 4reverrrr,
Barikiwa sanaaa, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Enjoy to the fullest shosss 😘wewe treinaaahhhh! Hunaga baya na mtu best akee!
 
Angekuwa anaweza shughuli za shambani, Babu yake nina zawadi ya ekari 5 za shamba aje alime [emoji847]

Kwa kuwa ni mpenzi wa Togwa, leo kuna lita 8 kwaajili yako

Heri ya Kuzaliwa Mjukuu wangu Machachali cocastic , Mwenyezi Mungu akupe hitaji la Moyo wako [emoji512][emoji898]
Ahsanteee sanaa Gran pah!! [emoji120][emoji120][emoji120]
Naomba niandalie na ulanzi dumla 3, nilewee had baas.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom