Happy Birthday CONTROLA

Happy birthday to you..[emoji445][emoji444][emoji344][emoji344]

Haya unitumie cake yangu
yna2 asante sana mama lao

cake yako aseee🤔 wale majamaaa walinitengenezea "Ndafu" so

nipo na nyama nyama nlibeba kwenye foil nmeacha pale ndani sema ukiztafuna unaweza dhani

unatafuna "BIG G" (wali ni disapoint hapo tu) so nayajua meno yako si mazuri sanaaa

kuliko yatoke kisa n nyama, Acha hiii ipite cake yako ntakutaftia day 1 uikule mpk uteme mate.

For now nikwambie tu Mungu akubariki na azidi kukubariki.
 
CONTROLA, [emoji24][emoji24][emoji24]

Kuliko kukosa cake wacha nilie tu..

Tubarikiwe sote ...huo mjina wako Sasa...[emoji17][emoji17]
 
Mungu akulinde mkuu, na ninakushauri ujitahidi kuitunza Afya yako
Ameen Mkuu.

Asante sana sana kwa ushauri Ushimen , Afya ni kipaumbele changu cha kwanza ktk haya maisha

najua bahati mbaya siku nikilala kitandani kila kilicho changu kitanifata kitandani "sipo tayari hilo linikute"

Mungu akubariki sana nawe pia Ushimen usiache Kufanya yale uliyonishauri.
 
Happy birthday dearest 🍾🍷🎂
Tumezaliwa tar moja 26th ya miezi tofauti 🏃
Thank you very much Depal

na kwakua we are talking about a "day" and not a month or a year

sitokua nimekosea kama nikikuita my "birthday pal" yes "you're"

halafu ndio maaaana kumbeeee... sema acha nikaushe.

Thank you once again Depal
 

Aisee shukran
Enjoy your birthday
 
[emoji24][emoji24][emoji24]

Kuliko kukosa cake wacha nilie tu..

Tubarikiwe sote ...huo mjina wako Sasa...[emoji17][emoji17]
wakubwa hawaliii unajua (najua unajua)

unajua wanafanyaga nini wakiumia?... Tuachane na hayo 🤣

ubarikiwe utokapo
ubarikiwe uingiapo

Huo mjina Huo mjina Huo mjinaaaa 🤔(tusameheane tuu🤣🤣)
 
wakubwa hawaliii unajua (najua unajua)

unajua wanafanyaga nini wakiumia?... Tuachane na hayo [emoji1787]

ubarikiwe utokapo
ubarikiwe uingiapo

Huo mjina Huo mjina Huo mjinaaaa [emoji848](tusameheane tuu[emoji1787][emoji1787])
Tusiongeleshane hadi cake itakapopatikana..hujui jinsi gani niliipania hiyo cake..hujui kichwa chako..
 
Tusiongeleshane hadi cake itakapopatikana..hujui jinsi gani niliipania hiyo cake..hujui kichwa chako..
nimechekaaa 🤣 🤣

basi usinune sasa keki yako acha nikaweke order

utaipata nzima nzima ole wako usiifate sasa,haya sema mwenyewe

unataka ikatengenezewe bakery gani nielekeze tu mahali ilipo hiyo bakery...

"uache kulia lia" kama zakhera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…