Happy Birthday CONTROLA

Happy Birthday CONTROLA

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Tarehe kama ya leo 26 Nov Mkoa wa Kilimanjaro ndani ya Wilaya ya Moshi vijijini. Kijiji kimoja cha kuitwa "masama" baba na mama wa CONTROLA walibahatika kupata mtoto wao wa kwanza waliempenda kupita maelezo,wakati CONTROLA akizaliwa alitoa kilio cha hatari ila kwa upande wa wazazi wake wao walikua wakichekelea kwa furaha "isiyoelezeka"

Maisha ndivyo yalivyo muda wewe unalia,wengine watakua wakifurahi so don't mind Achana nao iskusumbue

Kila mtu na siku yake hii leo ni "yangu" namshukuru Mungu kwa yote aliyonipitisha kwa miaka iliyopita,kanivusha mabonde na milima kaniepusha na hatari mpk sasa nina amani furaha afya tele "who am i" si lolote si chochote ila ni Upendo tu wa pekee alionao

Father in heaven juu ya maisha yangu,nina kila sababu ya kusema "asante", YES asante baba kwa kunifikisha siku hii ya leo.

CONTROLA umekua mfano kwenye maisha yangu, umekua role model wangu,kupitia wewe CONTROLA nakuahidi Mungu

akinipa uwezo wa kufika mwakani tarehe kama ya leo nita kusuprise kupitia yote ninayojifunza toka kwako CONTROLA

Nakupenda CONTROLA nakuhusudu CONTROLA naku naku naku naku kila kitu my one and only CONTROLA

Enjoy some of your favourite hits

Nani kama mama - Christian bella

Uso wangu - Emmanuel Mgogo

Simama Jitukuze - Mercy Masika

Chizoba - Rudeboy

Virtuous Woman - Flavour

Nikumbushe - Nandy

Love song - Etana

Coat of many Colours - Dolly Parton

I'll Remember you - Kenny Rogers

Usiende mbali - Juliana

Mmmh - Willy Paul

Happy Birthday once Again CONTROLA
 
Happy b day tumezaliwa siku moja ila nais tumetofautiana miaka enjoy your day pacha
 
Njoo tukumwagie maji mkuu, maana hapo daslam nasikia ndiyo taratibu za bethday kumwagiwa maji!
nimewakimbia wana daslamu kwa muda kdg npo chobingo moja

naskia natafutwa huko kila mtu ana ndoo ya ukoko wanamsubiri "boss"
 
Happy borndate mkuu..
Ila hakikisha next year hizi salamu zinatolewa na ID ingine [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

More Everything
 
Happy birthday to you. More years of greatness.

Naomba address ya kutuma keki.
 
Back
Top Bottom