Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii JF kuna watu wanapendwa jamani![emoji30][emoji30][emoji30]Sweetheart,
Mdogo wangu mzuri,
Naomba nitulie kisha nije kukutendea muujiza wa maneno mazuri hapa..!!
Acha wivu mzee wa chura watu wanashow luv[emoji23][emoji3]Hii JF kuna watu wanapendwa jamani![emoji30][emoji30][emoji30]
Thank you mumie,The one of your own Heaven SentHappiest birthday CONTROLA ; keep on controlling
Ya kule inatosha.!? Ama unataka tena?Yaniiii nipo hapa leo nasubiri....
Haha..Hii JF kuna watu wanapendwa jamani![emoji30][emoji30][emoji30]
Cheers to new age n more wisdom chabby[emoji857][emoji857]JF is my HOME nimiaka inapita najifunza mengi na kukutana na wengi sina lakusema zuri au kubwa zaidi ya Asante kwa kila alie na anae changia zuri ambalo limekua likinisaidia ktk maisha yangu.
Mwaka mwingine nimeongeza Uwepo wa JF umekua na faida nyingi kwangu kuliko hasara.
Asanteni wote mlionifanya rafiki/mshauri/kaka/ndugu/Baba,nk nawashukuru wote mlioniamini na mnaoendelea kuniamini.
Natamani kutoa asante kubwa kwa wote wanaotamani kuvuka toka walipo lakini hawakati tamaa ktk utafutaji hasa kwa njia ya usomaji kuptia nakala na maandishi yangu.
Mbarikiwee siku 1 mtavuka.
Happy Birthday CONTROLA