Happy Birthday Culture Gal

Happy Birthday Culture Gal

932aba21c2239847825c80014e094d13.jpg
Kidogo unaanza kuniaminisha...
 
[emoji41][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]wewe kajamaa wewe
 
Mbona unaonekana mbabe sana wewe utakuwa unawapiga sana wanaume (Hawa wa dar ) sisi wa mkoani wala sio wachokozi ungejifunza na karate kdogo unakuwa kama Cynthia au Nikita

Anyway happy birthday to you
 
Mbona unaonekana mbabe sana wewe utakuwa unawapiga sana wanaume (Hawa wa dar ) sisi wa mkoani wala sio wachokozi ungejifunza na karate kdogo unakuwa kama Cynthia au Nikita

Anyway happy birthday to you
Lol, nimecheka sana, thanx dear... lakini hii post ya zamani sana kuna mtu anafukua makaburi yangu sijui ananitaka nini walai, Birthday yangu ni mpaka september.
 
Na mimi acha nikuwish tu leo ikifika September ntakuwish tena.
Happy birthday dear..
 
Back
Top Bottom