jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Nichukue fursa hii kwa kumshukuru mungu kwa kunipa pumzi za kufikisha umri mwengine katika maisha yangu,hope umri mpya umeniachia maswali ya wapi nlipotoka,wapi nilipo,wapi napokwenda? Mungu naomba nisimamamie [emoji120][emoji120][emoji120]
Happy birthday to me
Happy birthday to me