Old Granny
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 392
- 555
Happy Birthday mdogo wangu wa nguvu....
Happy birthday chamdeko, sijajua zawadi ya kukupa me nitonye uzito wako na urefu wako nitajua nakupa nini!..
Wewe binti umejificha wapi??Heri ya siku ya kuzaliwa mama karumanzila.
Happy Birthday Demu wangu wa zamani ( God Plz, Mshana Jr asiione hii)... I wish you more 150 years to live in happiness hadi nanii ichakae kabisa!!!
Ushaanza... huu ni uzi wa kumtakia Birthday Demiss na sio wa kutafuta mambo yenu yale...!!!Wewe binti umejificha wapi??
Nimekumiss sana aisee
In Mange's VoiceTafika kileleni hapo hapo... π π πutasikia tu nasema nakogoaaa
Ha haa aisee unapata taabu sana?Rudisha Avatar ile, unanipa tabu sana...
Sasa nimeamini hapa JF wanawake wanaojipigia debe kumbe mh!!!!! Nasubiri nipate picha ya Mama Sabrina nione kama huyo msomali yumo au laHapana shemej yako anapenda
Nipo kipenzi changu, nimekuhamu mnoooo. Hujambo?Wewe binti umejificha wapi??
Nimekumiss sana aisee
Mimi sijambo kabisaaaa, umejificha sana bwana!Nipo kipenzi changu, nimekuhamu mnoooo. Hujambo?