jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
kweli wewe ni chamdeko jaman, kuzaliwa tu ndo unachelewa kunijibu hivi... ukianza kutambaa utajibu baada ya week weye
msalimie shem wangu jaman maana najua ndo kakubana hadi unachelewa kujibu
teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli wewe ni chamdeko jaman, kuzaliwa tu ndo unachelewa kunijibu hivi... ukianza kutambaa utajibu baada ya week weye
Hahahahha usiniambie cute b ni aliachwa kwa sababu yangu au ndo alimpiga cha mbavu mchawiiiHili namuitaga mumeo tangu akiwa shemeji yangu kwa cute b
Asante sana mpenzi wangu wa siku mojaa japo wewe mbahili kweli kweliJapo nimechelewa naomba tu msamaha, Happy birthday mpenzi wangu wa mwaka huo wa nyuma, Allah akujaalie maisha marefu na akutimizie mahitaji yako yote ya Moyoni
Jamani dada mm nataka pizzaBora kuchelewa kuliko kukosa kabisa.
Happy born day dear. Uje hapa morena upate lunch[emoji8][emoji8][emoji8]
Asanteeee japo nilikuwa sikupendi ila leo yameishaaaKher ya kuzaliwa mtoto mzur
Hapana dada unajua kazi zetu hata kushika smu sikupata mudaa jamani kuhudumia jamii ni shidaa sasa ndo nipo freekweli wewe ni chamdeko jaman, kuzaliwa tu ndo unachelewa kunijibu hivi... ukianza kutambaa utajibu baada ya week weye
msalimie shem wangu jaman maana najua ndo kakubana hadi unachelewa kujibu
teh
Hapana ni za ukweliHBD. Ila punguza mada za kusadikika.
Upo dodoma? Au unaenda kula sikukuu na mshana? Kama upo Dodoma pizza umepata
ucjali mpnz nimekuchokoza tu... am ok kabisa...napenda kukusikia ndo maana.Hapana dada unajua kazi zetu hata kushika smu sikupata mudaa jamani kuhudumia jamii ni shidaa sasa ndo nipo free
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mh....