Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

kweli wewe ni chamdeko jaman, kuzaliwa tu ndo unachelewa kunijibu hivi... ukianza kutambaa utajibu baada ya week weye

msalimie shem wangu jaman maana najua ndo kakubana hadi unachelewa kujibu

teh
Hapana dada unajua kazi zetu hata kushika smu sikupata mudaa jamani kuhudumia jamii ni shidaa sasa ndo nipo free

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom