[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdomo mwekundu kama yenyewe [emoji85][emoji131][emoji176][emoji175][emoji177]
Shemela[emoji137] [emoji137] [emoji137]HBD mrs mganga[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Najua unanipenda kaka yangu, nami nakupenda pia.[emoji7] [emoji7]Mweeeh,
Espy wewe hivi wajuaga mimi kaka yako nakupenda sana ati ???
Basi yaishe chamdeko wa mzee wa tunguliUnachooo
Da Vinci; Kila mtu na starehe yake. Hata wajina wako bila shaka alikuwa na za kwake nje ya hiyo fani ya uchoraji.Nakupenda na kukubali kwa mambo yako yote ila tabia yako moja unaniudhi na siipendi hasa ikiwa kwa mwanamke ULEVI
Happy birthday Chamdeko
Nini tena mimiIla wewe
Kweli kabisa mkuu lakini huyo ni msichana sidhani inaleta picha nzuri mbele za watu yeye kua mlevi. Kama anajiheshimu na kutambua thamani ya kuheshimiwa na jamiiDa Vinci; Kila mtu na starehe yake. Hata wajina wako bila shaka alikuwa na za kwake nje ya hiyo fani ya uchoraji.
Kwa ninavyomjua Chamdeko yeye ni mnywaji tu mkuu, ila siyo mlevi.Kweli kabisa mkuu lakini huyo ni msichana sidhani inaleta picha nzuri mbele za watu yeye kua mlevi. Kama anajiheshimu na kutambua thamani ya kuheshimiwa na jamii
sijapewa hubby wangu,hata mualiko tuKipenzi changu umepewa keki na Demiss kweli??
Basi tuachane nayo maana tunaweza kuja kula madawa bure tuje tushindwe kufurahia utamu wetusijapewa hubby wangu,hata mualiko tu