moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nadai cheji yake, sina shida na laki moja ile mimi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nadai cheji yake, sina shida na laki moja ile mimi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwangu mm mwanamke anayekunywa ana sound vibaya kwanguKwa ninavyomjua Chamdeko yeye ni mnywaji tu mkuu, ila siyo mlevi.
anasema kwelUchochezi
Ni mwendo wa kuvua gamba kama nyoka tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Demiss una besidei nyingi kama mimi tu..kwa mwaka nazaliwa mara tatu[emoji23] [emoji23]
bora nikose vyote ila sio utamu wanguBasi tuachane nayo maana tunaweza kuja kula madawa bure tuje tushindwe kufurahia utamu wetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchochezi
Ni mimiLabda sio wewe
Namshukuru Mungu muumba Mbingu na nchi.
1.Naomba siku yangu ya kuzaliwa niisherekee tofauti kabisa na Wanajf wenzangu.
2.Naombeni nikaribishe maswali kutoka kwenu uliza chochote nitakujibu?
Acha ushauri wowote nitaupokea na kuufanyia kazi.
3.Kwanza kabisa naomba wale wote niliowakosea kwa namna yeyote mnisamehe mimi ni binadamu hivyo sijakamilika.
Wale mlionikosea nimeshawasamehe siku nyingi sana na nimeshasahau.
4.Wanaume wote mlionitongoza wengine tukaishia njiani wengine tukajunjana na kubwagana kwa sababu mbalimbali naomba tuishie hapahapa naanza mwaka mpya na maisha mapya wale mliochukia naomba mfute roho ya kishetani wanawake ni wengi wamejaa tena wazuri kuliko Demiss nendeni mkajipoze nao roho.
5.Kwa wale mnaotamani mm nitoweke Jf kwa roho zenu mbaya tu hebu acheni basi hayo mambo hamjui kuwa mwenzenu Jf ilinipatia mwanamme wa maisha yangu Daktari sasa kwanini unichukie jamani?
6.Kama ninawakera niambieni leo nijirekebishe yawezekana nawaboa alafu hamniambii? Naombeni mfunguke nataka nianze mwaka mpya na mambo mapya.
7.Piah shukrani nyingi ziende kwa Baba na mama chamdeko kwa kunilea mtoto wao mpaka leo Mungu awabariki sana.
Mwisho:
Nimshukuru mme wangu Daktari mara ya Mwisho ulikuja Dodoma kuniaga ukaniambia mama watoto wacha niende Shule kuongeza Elimu zaidi ya Udaktari ili tuweze kuingiza pesaa zaidi maana unajua Mke wako napenda Mahelaaa Madorali[emoji387][emoji387][emoji386][emoji389][emoji389]
Nakupenda sana Mme wangu amini nakwambia Mwezi wa 12 tutakuwa wote tena nikutakie Masomo memaa Mkeo chamdeko nakupenda sasa Daktari wangu hakika ni kati ya Wanaume wachache sana waliopo Jf wenye upendo wa dhati.
Huangalii niliwahi fanya nini wala nn?
Umenitoa shimoni na kuniweka kwenye njia amini mimi na wewe mpaka kifo nakupenda sana Daktari wangu.
Demiss Mrs Jr. View attachment 837295
Jiandae kukabiliana na timbwili timbwili kama la Asha Ngedere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chenchi nimeshakula zabibu bhn
Ndio maana nakupenda sana...bora nikose vyote ila sio utamu wangu
Nakupenda sana kipenzi changuNdio maana nakupenda sana...
Ngoja niishie hapa nisije kutoa ya chumbani sebuleni[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nakupenda sana kipenzi changu
furaha yangu mimi[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Asali wa moyo wangu
Nakupenda piahHappy birthday mdogo wangu wii wangu kwa kaka ngu Yesu azidi kukutunza nakupenda tu shunie mm [emoji8]