Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Pale kwa dada zai nimekula kuku choma tu itabidi nikayatafute hayo makange dada akeee miye mzuri mzuri
 
Na kapicha kako... Ntakapost.... Long live malkia wangu wa chitchat... Mungu akuongoze na kukuongezea kheri... Nitarudi.. Safari sio kifo... Happiest birthday ever...
A BIRTHDAY FULL OF WISE WORDS! [emoji173][emoji182]
Waooooh asante sana mme wangu wa faida
 
4.Wanaume wote mlionitongoza wengine tukaishia njiani wengine tukajunjana na kubwagana kwa sababu mbalimbali naomba tuishie hapahapa naanza mwaka mpya na maisha mapya wale mliochukia naomba mfute roho ya kishetani wanawake ni wengi wamejaa tena wazuri kuliko Demiss nendeni mkajipoze nao roho.

Teh teh mimi nimependa hayo maneno niliyoyabold hapo juu.
hongera pia.
 
Happy Birthday Demiss, siku yako hii ya kuzaliwa iwe baraka kwako na kwa wapendwa wako pia. Iwe siku ya kuzaliwa upya iliyojaa matumaini mapya ya kutimiza ndoto na matarajio yako katika maisha, mabaya yakuepuke na nuru ya uzima ikuangazie
 
Hizo nido ukazipunguze
 
HBD mrs mganga[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…