D
Deleted member 485868
Guest
Mmeongozana na last born wetu..yake ilikua 12/8Happie birthday demiss tumepishana siku moja tu,kaanza fid q,mimi halafu wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeongozana na last born wetu..yake ilikua 12/8Happie birthday demiss tumepishana siku moja tu,kaanza fid q,mimi halafu wewe.
Pole sanaNgoja niache alafu naumwa mafua si mcheZoo atiiii jamani hapa sauti inatisha balaaa
Umeshauriwa hapo juu upunguze kunywa pombeNimekunywa pombeee
Nimekunywa pombeee
Hapo je?Sawa.
Mbona huquote?
Hapo sawaHapo je?
Na kapicha kako... Ntakapost.... Long live malkia wangu wa chitchat... Mungu akuongoze na kukuongezea kheri... Nitarudi.. Safari sio kifo... Happiest birthday ever...Namshukuru Mungu muumba Mbingu na nchi.
1.Naomba siku yangu ya kuzaliwa niisherekee tofauti kabisa na Wanajf wenzangu.
2.Naombeni nikaribishe maswali kutoka kwenu uliza chochote nitakujibu?
Acha ushauri wowote nitaupokea na kuufanyia kazi.
3.Kwanza kabisa naomba wale wote niliowakosea kwa namna yeyote mnisamehe mimi ni binadamu hivyo sijakamilika.
Wale mlionikosea nimeshawasamehe siku nyingi sana na nimeshasahau.
4.Wanaume wote mlionitongoza wengine tukaishia njiani wengine tukajunjana na kubwagana kwa sababu mbalimbali naomba tuishie hapahapa naanza mwaka mpya na maisha mapya wale mliochukia naomba mfute roho ya kishetani wanawake ni wengi wamejaa tena wazuri kuliko Demiss nendeni mkajipoze nao roho.
5.Kwa wale mnaotamani mm nitoweke Jf kwa roho zenu mbaya tu hebu acheni basi hayo mambo hamjui kuwa mwenzenu Jf ilinipatia mwanamme wa maisha yangu Daktari sasa kwanini unichukie jamani?
6.Kama ninawakera niambieni leo nijirekebishe yawezekana nawaboa alafu hamniambii? Naombeni mfunguke nataka nianze mwaka mpya na mambo mapya.
7.Piah shukrani nyingi ziende kwa Baba na mama chamdeko kwa kunilea mtoto wao mpaka leo Mungu awabariki sana.
Mwisho:
Nimshukuru mme wangu Daktari mara ya Mwisho ulikuja Dodoma kuniaga ukaniambia mama watoto wacha niende Shule kuongeza Elimu zaidi ya Udaktari ili tuweze kuingiza pesaa zaidi maana unajua Mke wako napenda Mahelaaa Madorali[emoji387][emoji387][emoji386][emoji389][emoji389]
Nakupenda sana Mme wangu amini nakwambia Mwezi wa 12 tutakuwa wote tena nikutakie Masomo memaa Mkeo chamdeko nakupenda sasa Daktari wangu hakika ni kati ya Wanaume wachache sana waliopo Jf wenye upendo wa dhati.
Huangalii niliwahi fanya nini wala nn?
Umenitoa shimoni na kuniweka kwenye njia amini mimi na wewe mpaka kifo nakupenda sana Daktari wangu.
Demiss Mrs Jr. View attachment 837295
[emoji180][emoji176][emoji177][emoji175][emoji181][emoji738][emoji179][emoji307][emoji171]Karibuni sanaaaView attachment 837301
😳 😳 😳 😳Nakupenda na kukubali kwa mambo yako yote ila tabia yako moja unaniudhi na siipendi hasa ikiwa kwa mwanamke ULEVI
Happy birthday Chamdeko