Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Nakupenda na kukubali kwa mambo yako yote ila tabia yako moja unaniudhi na siipendi hasa ikiwa kwa mwanamke ULEVI
Happy birthday Chamdeko
Nashukuru nitafanyia kazi ushauri wako umekuwa mtu wa pili leo kulalamika kuhusu suala la ULEVI nitafanyia kazi.
 
Happie birthday demiss tumepishana siku moja tu,kaanza fid q,mimi halafu wewe.
Kabisa mamy ila sijasahau vocha yangu atiii sisi tuliozaliwa mwezi 8 ni team kujitambua na kujiamini eeh mwenyezi Mungu atusimamie maisha yoteeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Yaani meza ilivyochafuka hadi raha. But umenikera kwny sekta ya chakula. Uliempa hiyo tenda nani? Maana nmetoka usingizini nilihisi nipo bar kilichonishitua ni chakula ndo kujitambua km npo jf
 
Back
Top Bottom