ziloi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 758
- 1,063
Amina.Hahahahah nimecheka sana nimeangalia miaka yangu mpaka nifikishe 40 ni nusu ya miaka niliyonayooo sawaa tuombe uzimaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina.Hahahahah nimecheka sana nimeangalia miaka yangu mpaka nifikishe 40 ni nusu ya miaka niliyonayooo sawaa tuombe uzimaaa
usihofu tuko wote njia pandaHahahah umeniacha njiapandaaa
Narudia tena sina den na mtu ila ww ndio nakudai silver yanguNiseme?
Weee toboa siri tu maana nilimdanganya ushimen [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc:Kiliman pub
Nauli ipi funguka tuuuuNakudai nauli ya B ........i
Nishanasua, tega tenaHahahaha mlidanganyana wote sasa nitawaumbua nakwambia
Izi porojo tuuu hakuna uhalisia wowote ila kama umeamua kunidhulum iyo silver amin nakwambia ipo siku mungu atajib maombiKwani ulinipromise utanitumia mahela ya nini?
Ulipo wewe njia pandaaaKwa Isack Maro au?
Hahahha mbn unaniabisha sasa jamani [emoji23][emoji23][emoji23] muone vile ndo maana umezeeka haraka nakwambiaIzi porojo tuuu hakuna uhalisia wowote ila kama umeamua kunidhulum iyo silver amin nakwambia ipo siku mungu atajib maombi
Usiku mwema
Nimeshinda tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhn mshindi wewe