Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha..demiss wewe.. Haya Furahia siku yako bebeWaoooh asante sana dada angu mzuri mzuri napenda sana unavyojiamini akiiii kuna siku ulinifurahisha sana yani nikakupenda bureee
Nashukuru nitafanyia kazi ushauri wako umekuwa mtu wa pili leo kulalamika kuhusu suala la ULEVI nitafanyia kazi.Nakupenda na kukubali kwa mambo yako yote ila tabia yako moja unaniudhi na siipendi hasa ikiwa kwa mwanamke ULEVI
Happy birthday Chamdeko
Yangu mpk October hukoo mkuuWewe yako lini????
Nsisubir kwa hamu...Yangu mpk October hukoo mkuu
Nitashukuru sana kama utabadirikaNashukuru nitafanyia kazi ushauri wako umekuwa mtu wa pili leo kulalamika kuhusu suala la ULEVI nitafanyia kazi.
Niko chimbo moja matata nakaribisha uzeee karibu sanaaa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Waoooh asante sana mamy
Kabisa mamy ila sijasahau vocha yangu atiii sisi tuliozaliwa mwezi 8 ni team kujitambua na kujiamini eeh mwenyezi Mungu atusimamie maisha yoteeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Happie birthday demiss tumepishana siku moja tu,kaanza fid q,mimi halafu wewe.