Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
4.Wanaume wote mlionitongoza wengine tukaishia njiani wengine tukajunjana na kubwagana kwa sababu mbalimbali naomba tuishie hapahapa naanza mwaka mpya na maisha mapya wale mliochukia naomba mfute roho ya kishetani wanawake ni wengi wamejaa tena wazuri kuliko Demiss nendeni mkajipoze nao roho.

Teh teh mimi nimependa hayo maneno niliyoyabold hapo juu.
hongera pia.
Asnate nashukuruuu sana kaka angu mhandsome
 
Happy Birthday Demiss, siku yako hii ya kuzaliwa iwe baraka kwako na kwa wapendwa wako pia. Iwe siku ya kuzaliwa upya iliyojaa matumaini mapya ya kutimiza ndoto na matarajio yako katika maisha, mabaya yakuepuke na nuru ya uzima ikuangazie
Waoooh mpaka nimetokwa na machozii siyo kwa ujumbe huu mwanana
 
Back
Top Bottom