Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.

Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.

Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
HAPPY BIRTHDAY maisha marefu na afya njema bestito
 
🤣🤣🤣 sijui imekuwaje mjomba Msanii amefufua uzi wake.

Ningewasemaaa kama yule
Kabla mchana haujafika
Hamna kuacha siku ipite bila crew kupost 🤣🤣🤣
Hauchuji haupoi🤣
 
Depal nimekuzawadia range njoo kesho palm village saa 10 mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059]View attachment 2495761
Nina majuto sana kuwa niliwahi kupost hii kitu humu anyway gari langu nalichukua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Yaliyomo hayamo. 🚮🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom