Happy Birthday Depal

Mzee usitake kila mtu awe kama ww au kila kitu mtu akifanya anakuwa sio mwanaume hizo ni mawazo ya kishamba punguza makasiliko mdogo wangu utakufa

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
wooow'.....
a very happiest birthday to you my girlie...
Have a blast babes...!!๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ
Lovesh you totoo..!!๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Happy [emoji512][emoji512][emoji512] dada mzurii
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Ishi sanaaa, huna bayaa.
Depal
 
kwa kwel Depal sijawhi kumwona lakin ana hulka za kuwa ni binti mrembo sana,eeh mcheeshi kiasi body si haba hata mm kwa kwel au basi tu๐Ÿค“
 
kwa kwel Depal sijawhi kumwona lakin ana hulka za kuwa ni binti mrembo sana,eeh mcheeshi kiasi body si haba hata mm kwa kwel au basi tu๐Ÿค“
Kuna bazazi kule juu amesema atamhonga RangeRover Sports..... Ananikata stimu kweli๐Ÿ˜‚

Natamani kumuona binti alivyo walah maana namsoma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ