Thank you bebe πHappy birthday, baby girl.
Pole sana.Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.
Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.
Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.
AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Ahsante mzeeiyaHappy birthday Binti wa Kaskazini Depal
Namba zake ninazo, njoo nikupeNinaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.
Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.
Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
Thank u jiraniHeri kwake..
Unasaka kubondwa auNamba zake ninazo, njoo nikupe
Amen cwtie πHappy birthday D Yesu akutunze
Thank you Hon
Acha lomoniSaa kumi haijawahi kuwa mchana
Thanks much Chalii angu
Lomoni ni muhimu kwa ma laigwanan.Acha lomoni
Thank youuu babe siswooow'.....
a very happiest birthday to you my girlie...
Have a blast babes...!!π₯³π₯³
Lovesh you totoo..!!ππ