Happy Birthday Depal

Happy Birthday Depal

Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.

Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.

Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.

AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Pole sana.
 
Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.

Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.

Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
Namba zake ninazo, njoo nikupe
 
Happy birthday Depal mams nnayempenda jamvini hapa buibui nyoka nakutakia maisha marefu sana pisi ya bank bank
 
Back
Top Bottom