Happy Birthday Diamond Platinumz (Icon wa Tanzania)

Hakika umeleta hamasa na kuwa mfano bora kwa vijana wenzako Africa nzima..
Umethibitisha haijalishi kijana ametoka kwenye familia duni kiasi gani, akiamini katika ndoto zake na kufanya kazi kwa bidii pasipo kukata tamaa siku moja hakika ataishi ndoto zake..

Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu na afya njema!! Happy birthday Simba..
 
Diamond Platnumz alisherekea birthday yake kwa kuvua nguo zote na kubaki na ya boxer tu alipokuwa anasherekea siku yake ya kuzaliwa
 
mbona poa tu kwani nini kimeharibika hapo .
 
Huyu ndio watu mnamfungulia special thread humu? This is not facebook, yani huyu hana tofauti na James delicious kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…