Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Hakika umeleta hamasa na kuwa mfano bora kwa vijana wenzako Africa nzima..
Umethibitisha haijalishi kijana ametoka kwenye familia duni kiasi gani, akiamini katika ndoto zake na kufanya kazi kwa bidii pasipo kukata tamaa siku moja hakika ataishi ndoto zake..
Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu na afya njema!! Happy birthday Simba..