Happy Birthday Diamond Platinumz (Icon wa Tanzania)

Happy Birthday Diamond Platinumz (Icon wa Tanzania)

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Leo October 2 ndo siku aliozaliwa Naseeb Abdul Juma ukipenda muite Diamond Platinumz huyu ndo icon wa mziki wa Tanzania na ni moja ya watu aliofanya mziki wetu sasa ivi unapigwa kwny channel za kimataifa na baadhi ya wasanii wanapata nomination zao za kwanza katika izo tuzo licha ya kuwepo kwenye game kabla ya Diamond,

Ni Diamond huyu huyu ndie inspiration kwa vijana na watoto wa Tanzania waliokataliwa na baba zao kulelewa na mama tu ila wakaja kutusua kimaisha ivyo pia kutoa fundisho mtoto hakataliwi hasa kwa wanaume wanapenda kukana mimba na pia amethibitisha kuwa unaweza usiwe na elimu kubwa ila ukafanikiwa kimaisha kupitia kipaji chako na ikumbukwe hamna aliezaliwa hapa duniani bila kipaji.

Happy birthday Naseeb Abdul Juma, (Diamond Platinumz) uishi miaka mingi na heri duniani na uendelezee moyo wa kuwasaidia wasanii wenzako kufika level iyo na kutoa ajira kwa vijana wa kitanzania kupitia lebel yako na kampuni yako WCB

1475356212132.jpg
1475356277266.jpg

1475356312285.jpg


 
Happy Birthday Simba,ajabu ya mtu mweusi tutakuta matusi hapa asubuhi.
 
Happy birthday diamond Mungu akupe maisha marefu yenye heri na baraka teleee.
 
Wazazi wako wakiwa na birthday huwa una wawish km hv?
 
Back
Top Bottom