Happy birthday Diamond Platnumz (King of Afro-Pop)

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Leo hii tarehe 02, October Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka kichwa cha bongo flavour aka King of Afropop ambaye ni Nembo ya Tanzania, The Legendary himself anasherekea siku yake ya kuzaliwa kutimiza miaka 26 tokea azaliwe 1989 siku kama ya leo.

Huyu mtu hakika anamchango mkubwa saana kwenye tasnia ya bongo flavour, na Wizara ya michezo na burudani kiujumla maana kupitia yeye angalau tunapata kujidai kwamba tupo mstari wa mbele kupitia mziki wake.

Amekuwa akitoa fundisho na hamasa kwa wanamuziki wenzake kupitia uthubutu, ubunifu, ubora, kujituma, nidhamu, na mafanikio yake hakika ni mtu wa kipekee. Kwa mwaka wake huu wa 25 tu yaani tokea mwaka jana october amefanikiwa kutuletea Tanzania na Afrika mashariki tuzo za kimataifa 12, ni muwakilishi mzuri hakuna wa kupinga hilo, na kwa sasa anagombania jumla ya tuzo 20 za kimataifa na kila wakati zinazidi kuongezeka.

Hivi karibuni alifungua studio ya WCB records, lengo kubwa likiwa kuinua vipaji vipya kwa kuwarekodia wasanii bure bila gharama yeyote, na baadhi wataokuwa bora zaidi kusainiwa kwenye label yake kuwasimamia kimuziki na mpaka sasa wameshampata mmoja Harmonize anaesumbua na kibao cha Aiyola

Ni mengi sana kafanya huyu Legend wetu ni ngumu kuorodhesha yote hapa.

Happy birthday King Of Afropop diamond platnumz Uliyofanya ni mengi Mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday baba Tiffah
 
HBD TO afropop king, na tunaposema king tunamaanisha uking kwa vitendo na si wa kujipachika ilihali hata pa kulala unasitiliwa na mama. Hongera DIAMOND KWA KUENDELEA KUTULETEA HESHIMA TULIYOIKOSA TOKEA TZ KUJULIKANA KAMA TAIFA ULIMWENGUNI JAPO WAPO WALIOPO KTK MUZIKI KWA ZAIDI YA MIAKA 15 LAKINI HAKUNA LA MAANA WALICHOTULETEA ZAIDI KUJIITA MA-KING, ILA SISI KAMA MASHABIKI CHA KUJIVUNIA KUTOKA KWAO HAKUNA.
 
Acha ushoga, what is it with your ass?

Diamond platnumz ndio King of Afropop whether your ass does or does not agree wth it

TEAM DIAMOND PLATNUMZ 4EVAAAAA

Kwa sababu anakukula nyuma?
 
Mbona Diamond hujamuwish Wema Sepetu heri ya siku ya kuzaliwa?
Utake usitake yule ndio mkeo maana akili zenu zinafanana sana.
Heri ya siku ya kuzaliwa.Umepishana miaka kumi na mpenzi wako Zarina Hassan a.k.a mama Wanne.
 
Hsppy birthday the King of All Bongo Flavour Music in Tanzania...May God keep you alive than ever before!Amin
 
Dah.. meneja hajahamasika nayeye kuingia gym!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…