Leo hii tarehe 02, October Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka kichwa cha bongo flavour aka King of Afropop ambaye ni Nembo ya Tanzania, The Legendary himself anasherekea siku yake ya kuzaliwa kutimiza miaka 26 tokea azaliwe 1989 siku kama ya leo.
Huyu mtu hakika anamchango mkubwa saana kwenye tasnia ya bongo flavour, na Wizara ya michezo na burudani kiujumla maana kupitia yeye angalau tunapata kujidai kwamba tupo mstari wa mbele kupitia mziki wake.
Amekuwa akitoa fundisho na hamasa kwa wanamuziki wenzake kupitia uthubutu, ubunifu, ubora, kujituma, nidhamu, na mafanikio yake hakika ni mtu wa kipekee. Kwa mwaka wake huu wa 25 tu yaani tokea mwaka jana october amefanikiwa kutuletea Tanzania na Afrika mashariki tuzo za kimataifa 12, ni muwakilishi mzuri hakuna wa kupinga hilo, na kwa sasa anagombania jumla ya tuzo 20 za kimataifa na kila wakati zinazidi kuongezeka.
Hivi karibuni alifungua studio ya WCB records, lengo kubwa likiwa kuinua vipaji vipya kwa kuwarekodia wasanii bure bila gharama yeyote, na baadhi wataokuwa bora zaidi kusainiwa kwenye label yake kuwasimamia kimuziki na mpaka sasa wameshampata mmoja Harmonize anaesumbua na kibao cha Aiyola
Ni mengi sana kafanya huyu Legend wetu ni ngumu kuorodhesha yote hapa.
Happy birthday King Of Afropop diamond platnumz Uliyofanya ni mengi Mungu akubariki

Last edited by a moderator: