mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Mbona Diamond hujamuwish Wema Sepetu heri ya siku ya kuzaliwa?
Utake usitake yule ndio mkeo maana akili zenu zinafanana sana.
Heri ya siku ya kuzaliwa.Umepishana miaka kumi na mpenzi wako Zarina Hassan a.k.a mama Wanne.
Imebidi nicheke
Kwani walitoka tumboni pamoja?
Class ya Chibu imepanda sana siku hizi, w sio level yake tena.
Mama wanne amebarikiwa
Miaka haijalishi, hata wema anadeti aliyemzidi.
Ila maisha ya Chibu tangu Nov 2014 hadi leo ni hakunaga.
Mugu azidi kuwabariki
Siku waliyokutana, msanii na fan wake.
