Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Happy birthday aishi miaka 200
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda ligi sana Suzy EliasHuyu ndiye Rais sasa
Huu uzi umedolora. Nini maana yake?View attachment 2054258
===
Kila lenye heri Mzalendo wa kweli wa Taifa hili Rais Dkt Hussein Ally Mwinyi.
Mungu akupe miaka mingi zaidi ya baraka na furaha ili uwatumikie zaidi na zaidi masikini wa Taifa hili wa Visiwani na bara,
Wewe ndio umedorola, Unatakaje?Huu uzi umedolora. Nini maana yake?
😅😅😅😅
Kwani Tanzania tuna Marais wawili?Happy Birthday Mr President
CHADOMO hamkatikiwi maneno yaaaniHuu uzi umedolora. Nini maana yake?
😅😅😅😅
Nyie mbona mnapendana sana?Nipo CM 1774858
Wivu tu yaani, Kama kweli mnanipenda basi onesheni upendo,
View attachment 2054258