Happy birthday Donatila

Habari wakuu

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...

Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine...

Nina maswali kidogo...

Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea?

Na kama ni muhimu kwanini?
Hbd mttoto wa watu mla vya watu Mungu azidi kukuongoza
 
Habari wakuu

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...

Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine...

Nina maswali kidogo...

Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea?

Na kama ni muhimu kwanini?
Muhimu sana kusherekea, maana ni siku ambayo pia malango ya rohoni hufungukwa kwa ajiri yako ( yanayo husika na wewe ).. kama vile siku unazaliwa kuna portal hufunguka .. ilo lango kila siku yako ya kuzaliwa huwa wazi pia... tualike basi mwana
 
Habari wakuu

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...

Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine...

Nina maswali kidogo...

Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea?

Na kama ni muhimu kwanini?
mhn! napata tabu kidogo nina Donatila mwingine ambaye bday yake kesho au ndo wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ