Happy birthday Donatila

Happy birthday Donatila

Hbd to you cute 🥰
Ishi sana♥️♥️♥️♥️♥️
 
Happy birth day donatila, ishi miaka mingi mpaka ushangae.
Isiwe tu miaka mingi bali iwe yenye furaha amani mafanikio na kila jema lenye kupendeza.
 
Habari wakuu

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...

Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine...

Nina maswali kidogo...

Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea?

Na kama ni muhimu kwanini?
Umuhimu wa jambo lolote linatokana na mtazamo wako juu ya jambo hilo, binafsi siku ya kuzaliwa kwangu ni muhimu lakini siipi kipaombele kwa chochote, ila najipongeza kumshukuru Mungu.

Kwa hio umuhimu wa siku ya kuzaliwa upo kibinafsi zaidi.
 
Happy birthday Dona
Miaka mingi kwako yenye baraka [emoji898]
 
Back
Top Bottom