Happy birthday Dully Deylan

Happy birthday Dully Deylan

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Heri na siku ya kuzaliwa kitoto Cha Taifa na kitoto cha msaniii mkubwa Africa na East Africa kwa ujumla nchini Tanzania Diamond platnum aka chibudee ,baby Dee tulikupigania hadharani mpaka leo baba ako anakuwa proud na wewe ,hongera hamissa Mobeto na Diamond platnum kwa kupata kitoto kizurii kihandsome [emoji8][emoji8]

Watz tunakupenda uishi miaka mingi leo watimiza mwaka mmoja toka uzaliwe ila ndio hivyo twataka mdogo ako tu sisi[emoji6][emoji6][emoji6]
Screenshot_2018-08-08-10-10-31.jpg
 
Write your reply...kumbe na huyu ni wa diamond me nawajuaga wa billionaire Zari
 
Hbd day dee...dyalan the young,famous, prince mwenye manyota yake mjiniii!!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom