Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Heri na siku ya kuzaliwa kitoto Cha Taifa na kitoto cha msaniii mkubwa Africa na East Africa kwa ujumla nchini Tanzania Diamond platnum aka chibudee ,baby Dee tulikupigania hadharani mpaka leo baba ako anakuwa proud na wewe ,hongera hamissa Mobeto na Diamond platnum kwa kupata kitoto kizurii kihandsome [emoji8][emoji8]
Watz tunakupenda uishi miaka mingi leo watimiza mwaka mmoja toka uzaliwe ila ndio hivyo twataka mdogo ako tu sisi[emoji6][emoji6][emoji6]
Watz tunakupenda uishi miaka mingi leo watimiza mwaka mmoja toka uzaliwe ila ndio hivyo twataka mdogo ako tu sisi[emoji6][emoji6][emoji6]