Nitamwambia lakini hilo tiffu lake sijui utaliweza?
Atakuja nadhani anasubiria kwanza matatizo ya umeme na mafuta yapungue,Wewe mweleze tu,
Unadhani toka 1947 hadi sasa nimeona masika ngapi au kiaganzi mara ngapi??? Kila rangi ilishaonekana kwenye macho ya babu DC!
Tatizo unarudi usiku sana mkuu, unatoka tumelala unarudi tumelalaElia wewe ni rafiki yangu lakini mbona ujanipa kadi ya mwaliko wakati tunakaa nyumba moja kasoro milango?
HAPPY BIRTHDAY BRO.
Heeeeee shosti, 800yrs! punguza kdgHeri ya kuzaliwa Elia....ujaaliwe miaka 800!