trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Huenda ni coincidence tu..Mwezi wa birthday ndo mwezi wa kumbukumbu za marehemu wapenzi wake....majizzo mjanja kaiwahi April katoka nduki
R.i.p kanumba na seki
Ukivaa viatu vya Lulu hata wewe utaona ni wakati mgumu kiasi alipitia.
Halafu,yaani hata hivyo,mahusiano yake na Majizzo yako palepale... Kaka kapenda,na binti kapenda.