Happy birthday Emanuel Okwi, afikisha miaka 26

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Huyu ni mchezaji hatari wa Club ya Simba

Hongera mdogo wangu Okwi kwa kufikisha miaka 26
 
Kwani ile 'formula' mpya ya WHO ya 'YOUR REAL AGE MINUS 14' imeshaanza kutumika?
 
Kuna Jamaa kitaa alikuwa na Umri wa miaka 27 kipindi hicho akashangaa kuona Kado yupo kwenye kikosi cha under23 wakati jamaa miaka wote wamecheza kitaa Na Kado alikuwa broo kwa mshikaji.Jamaa akawa anasema Kado miaka inarudi nyuma badala ya kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…